Aviation Tanzania 🇹🇿
Aviation Tanzania 🇹🇿
February 14, 2025 at 01:05 PM
https://www.instagram.com/reel/DGDcgkrNdkV/?igsh=MWtoN3VpZzQ1M2tkcA== *Je, ni hatari kiasi gani kwa mjamzito kujifungua ndani ya ndege?* Kufuatia mfululizo wa matukio ya abiria wajawazito kujifungua ndani ya ndege katika mashirika mbalimbali ya ndege duniani, @dr.nasranassor Daktari wa Wanaanga Tanzania na muasisi wa @aerospace.medicaltz anaeleza hatari zinazoweza kutokea kwa mama na mtoto wanapojifungua angani. Kwa mujibu wa miongozo ya usafiri wa anga, mama mwenye ujauzito wa chini ya wiki 34 ndiye anayestahili kuruhusiwa kusafiri kwa ndege. Tazama mahojiano haya kamili kwenye YouTube channel yetu – Aviation Tanzania, kwa kubonyeza link kwenye bio. #aviationmedicine #birthonboard #cabincrew #aviationcareer #aviation #aviationlovers #aviatamedia #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzania

Comments