Find WhatsApp Channels
Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.
Channels & Posts for #pongezi
Posts
Masha Allah! Leo tunatoa pongezi za dhati kwa wana...
Masha Allah! Leo tunatoa pongezi za dhati kwa wanachama wote waliotoa ushirikiano mkubwa katika mcha...
Bank of Tanzania (BoT) on Instagram: "DKT. NCHEMBA AIPONGEZA BENKI KUU KWA USIMAMIZI MAHIRI WA UCHUMI Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ameipongeza Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa mchango wake mkubwa katika kusimamia kwa ufanisi uchumi wa taifa na kuchochea ukuaji endelevu wa maendeleo. Dkt. Nchemba alitoa pongezi hizo tarehe 18 Juni 2025 jijini Dodoma, alipokutana na Bodi ya Wakurugenzi ya BoT, inayoongozwa na Mwenyekiti wake ambaye pia ni Gavana wa Benki Kuu, Bw. Emmanuel Tutuba. Akizungumza katika kikao hicho, Dkt. Nchemba alisema licha ya changamoto za kiuchumi zinazoikumba dunia, Tanzania imeendelea kustawi kiuchumi, hali ambayo inachangiwa kwa kiasi kikubwa na usimamizi madhubuti na utendaji bora wa Benki Kuu. Alieleza kuwa ufanisi huo umechangia kudhibiti mfumuko wa bei na kuimarisha uthabiti wa kiuchumi. Aidha, aliipongeza Benki Kuu kwa mafanikio katika kusimamia sekta ya fedha, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha upatikanaji wa kutosha wa fedha za kigeni pamoja na kushughulikia kwa ufanisi malalamiko ya wananchi kuhusu huduma za kifedha, hususan mikopo inayotolewa na taasisi za huduma ndogo za fedha. Vilevile, Dkt. Nchemba aliipongeza Benki Kuu kwa mchango wake mkubwa katika jitihada za kuiondoa Tanzania kwenye orodha ya nchi zenye mapungufu ya kimkakati katika udhibiti wa utakatishaji fedha haramu na ufadhili wa ugaidi (Grey List), hatua ambayo ni ushahidi wa uimara wa mifumo ya udhibiti wa fedha nchini. Aliitaka BoT kuendeleza weledi katika utekelezaji wa majukumu yake, huku akiahidi kuwa Wizara ya Fedha itaendelea kushirikiana kwa karibu na Benki Kuu ili kuiwezesha kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi zaidi. Kwa upande wake, Gavana wa BoT, Bw. Emmanuel Tutuba, alieleza kuwa Benki Kuu itaendelea kutekeleza majukumu yake kwa umahiri mkubwa, kwa lengo la kuimarisha uthabiti wa sekta ya fedha, kukuza uchumi na kuchangia ustawi wa taifa kwa ujumla."
DKT. NCHEMBA AIPONGEZA BENKI KUU KWA USIMAMIZI MAHIRI WA UCHUMI Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu ...
*MHE. SIMBACHAWENE AIPA KONGOLE WIZARA YA FEDHA KW...
*MHE. SIMBACHAWENE AIPA KONGOLE WIZARA YA FEDHA KWA UTOAJI HUDUMA* Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utu...
WAZIRI SIMBACHAWENE AIPONGEZA WIZARA YA FEDHA NA T...
WAZIRI SIMBACHAWENE AIPONGEZA WIZARA YA FEDHA NA TAASISI ZAKE Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Meneji...
RIWAYA; *KIBIRITINGOMA* MTUNZI; *GODLOVE KABATI* K...
RIWAYA; *KIBIRITINGOMA* MTUNZI; *GODLOVE KABATI* KWENDA KWA; *MAJIVU YA FASIHI channel* WhatsApp; 07...
*Kabla ya kukupa pongezi mna Muda gani kwenye hayo...
*Kabla ya kukupa pongezi mna Muda gani kwenye hayo mahusiano yenu?? But Ongera sana, Lakini ombea sa...
HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA HUKO KWENU Awamu hii m...
HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA HUKO KWENU Awamu hii mnatoka vipi? 🤣🤣🤣🤣 ‼️ KWA HESHIMA ‼️ Kuna k...
SERIKALI, GATES FOUNDATION KUIMARISHA USHIRIKIANO ...
SERIKALI, GATES FOUNDATION KUIMARISHA USHIRIKIANO SEKTA YA AFYA Serikali itaendelea kushirikiana...
*WAONGOZA UTALII WATOA KONGOLE KWA NCAA MABORESHO ...
*WAONGOZA UTALII WATOA KONGOLE KWA NCAA MABORESHO YA BARABARA KUELEKEA MSIMU WA UTALII.* Na Mwandi...
Usiende kumuona new mum bila maua mazuri jamani. N...
Usiende kumuona new mum bila maua mazuri jamani. Ni mwikooo… 🤣 Njoo tukuandalie maua mazuri uende ...
Jana tumekula mikeka kuanzia asubui Hadi Jioni It ...
Jana tumekula mikeka kuanzia asubui Hadi Jioni It was a blessing Day na Leo pia TWENDENI tukawekeze ...
*TANZANIA NA NORWAY KUIMARISHA USHIRIKIANO* Wazir...
*TANZANIA NA NORWAY KUIMARISHA USHIRIKIANO* Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb),...