Find WhatsApp Channels
Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.
Channels & Posts for #q400
Posts
Aviation Tanzania on Instagram: "Air Tanzania is hiring for Cabin Crew and Captains. Air Tanzania Company Limited @airtanzania_atcl is inviting applications from qualified and experienced individuals to fill the following positions: Position: Captains (Q400) Number of Posts: 15 Position: Cabin Crew Number of Posts: 10 Interested candidates are encouraged to apply through the official recruitment portal: [https://recruitment.atcl.co.tz/](https://recruitment.atcl.co.tz/) The application deadline for all positions is 30 June 2025. #airline #airtanzania #aviationjobs #aviationcareer #airtanzania_atcl #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"
https://www.instagram.com/p/DLAU9u6N4-M/?igsh=M2ZqN3ZvcXV6dDBq *Air Tanzania is hiring for Cabin Cr...
Aviation Tanzania on Instagram: "Jaribio la kwanza la kutua Kwa ndege lafanyika katika kiwanja cha ndege cha kimataifa, Msalato. Siku ya Jana Juni 13,2025, ndege aina ya Bombardier Q 400 inayomilikiwa na Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL), imetua kwa mafanikio katika kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, jijini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya majaribio ya ufanisi wa kiwanja hicho kipya. Hili linakuwa ni jaribio la kwanza la kutua kwa ndege ya kibiashara katika kiwanja hicho ambacho kipo katika hatua za mwisho za maandalizi kabla ya kuanza rasmi kwa shughuli za usafiri wa anga. Kukamilika kwa kiwanja cha Ndege cha Msalato kutaiwezesha Tanzania kuwa na jumla ya viwanja vya ndege 62, ambapo vitatu kati yake vitakuwa ni viwanja vya kimataifa. #airport #tanzaniaairportsauthority #msalatointernationalairport #mia #atcl #q400 #aviationupdate #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzanianews"
https://www.instagram.com/reel/DK3wZNyNkpC/?igsh=eXBma3ExaXYwbDhh *Jaribio la kwanza la kutua Kwa n...
En 🇬🇧 *#GOOD_TO_KNOW | Kenya’s Advantage Ai...
En 🇬🇧 *#GOOD_TO_KNOW | Kenya’s Advantage Air Expands Freighter Fleet with First ATR72F* ...
Aviation Tanzania on Instagram: "”Ni Ndege Moja ya Air Tanzania Iliyopo Kwenye Matengenezo Kati ya 16” Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la @airtanzania_atcl , Mhandisi Peter Ulanga, amesema kuwa kwa sasa ni ndege moja pekee inayofanyiwa matengenezo ya muda mrefu, ambayo yanatarajiwa kukamilika kabla ya mwezi Juni mwaka huu. Mhandisi Peter alieleza hayo katika mahojiano na Shirika la Habari la TBC, ambapo alisema kuwa ndege hiyo imekuwa katika matengenezo kwa kipindi cha miezi sita, huku ndege nyingine 15 zikiendelea kutoa huduma kama kawaida. Ameongeza kuwa matengenezo hayo yanafanyika hapa nchini kwa kushirikiana na wahandisi wa ndani pamoja na msaada wa wahandisi kutoka mashirika mengine pale unapohitajika. Kwa sasa ATCL ina jumla ya ya ndege 16 ambazo ndege hizo ni pamoja na ndege moja aina ya Dash 8-Q300, Dash 8-Q400 tano, Airbus A220-300 nne, Boeing 737 Max 9 mbili, Boeing 787-8 Dreamliner tatu na ndege ya moja ya mizigo aina ya Boeing 767-300F. Video credit: TBC #airline #airtanzania #airtanzania_atcl #aviationcareer #aviationlovers #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"
https://www.instagram.com/reel/DJ7LSNsMOdS/?igsh=dGdzeGg3OGYxYWF2 *”Ni Ndege Moja ya Air Tanzania I...
Position: Commercial Airline Pilot – First Officer...
Position: Commercial Airline Pilot – First Officer Malawi Airlines Limited is a registered partners...
Online Job Vacancies in Malawi | 2025 Top Jobs in Malawi
VACANCY ANNOUNCEMENT@ MALAWI AIRLINES LIMITED POSITION: COMMERCIAL AIRLINE PILOT – FIRST OFFICER ...
Ramco Systems has successfully implemented its Avi...
Ramco Systems has successfully implemented its Aviation Software at Philippine Airlines for PAL Expr...
Aviation Tanzania on Instagram: "Ndege ya Air Tanzania aina Bombardier Q400 ikiwasili katika uwanja wa ndege Iringa siku ya jana Februari 22,2025 katika uzinguzi wa safari za Dar es Salaam-Iringa. Ndege hiyo iliwasili Iringa majira ya saa 3:45 asubuhi ikiwa na abiria 76, na kufanyiwa zoezi la "water salute" ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa safari hizo ambazo zimerejeshwa kwa mara nyingine baada ya kusitishwa kwa miaka mitano. . #Airlines #airtanzania #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviationcareer #aviationtanzania✈ #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv"
https://www.instagram.com/reel/DGZzadPN-MR/?igsh=MXVraW93dDNxdzY0ZQ== Ndege ya Air Tanzania aina Bo...
Aviation Tanzania on Instagram: "Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Shinyanga Wagharimu Bilioni 44.8, kupokea ndege za Bombardier Q400. Mradi wa ujenzi wa uwanja wa Ndege, Shinyanga umetajwa kugharimu kiasi cha shilingi bilioni 44.8, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuboresha miundombinu ya usafiri wa anga nchini. Mradi huu unajumuisha ujenzi wa njia ya kuruka na kutua ndege yenye urefu wa mita 2,200, maingilio ya ndege (Taxiway), maegesho ya ndege (Apron), na jengo la abiria. Hayo yameelezwa katika ziara ya waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, ambaye alibainisha kuwa mradi huo ulianza kutekelezwa mwanzoni mwa mwaka 2023 baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutoa maelekezo mahsusi ya kuhusu utekelezaji wake. Prof Mbarawa alifafanua kuwa ingawa mkataba wa mradi huo ulisainiwa mwaka 2017, utekelezaji wake ulikumbwa na changamoto mbalimbali zilizochelewesha kuanza kwake hadi aliporejea katika wizara hiyo mwaka 2022 na kupokea maelekezo ya moja kwa moja kutoka kwa Rais kuhusu umuhimu wa kuanza kwa miradi ya viwanja vya ndege vya Shinyanga, Katavi, Kigoma, na Tabora. Kwa mujibu wa Mhandisi wa Mradi kutoka Tanroads, Donatus Binemungu, kiwanja hicho kitakuwa na uwezo wa kupokea ndege za ukubwa wa aina ya Bombardier Q400. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, alieleza kuwa kukamilika kwa uwanja huo kutachangia kukuza uchumi wa mkoa huo, hasa kupitia sekta ya usafirishaji wa madini yanayopatikana katika eneo hilo. . #airport #aviationtanzania #shinyanga #shinyangaairport #avgeek #tanzaniaairport #tanzaniaairportsauthority #tanzania🇹🇿 #aviationtanzaniaupdates #aviata"
https://www.instagram.com/p/DGVT70BtsK_/?igsh=MXFpazk1aWRkMWQzaA== *Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Shin...
Tazama ujuzi wa Rubani wa kutua kwenye upepo unaok...
Tazama ujuzi wa Rubani wa kutua kwenye upepo unaokatiza mbele "Crosswind" katika kisiwa cha Terceira...
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuujulis...
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuujulisha Umma kuwa inarejesha safari za moja kwa moja ka...
Am@z0n ...
Am@z0n ...