Aviation Tanzania 🇹🇿
Aviation Tanzania 🇹🇿
February 23, 2025 at 05:14 AM
https://www.instagram.com/reel/DGZzadPN-MR/?igsh=MXVraW93dDNxdzY0ZQ== Ndege ya Air Tanzania aina Bombardier Q400 ikiwasili katika uwanja wa ndege Iringa siku ya jana Februari 22,2025 katika uzinguzi wa safari za Dar es Salaam-Iringa. Ndege hiyo iliwasili Iringa majira ya saa 3:45 asubuhi ikiwa na abiria 76, na kufanyiwa zoezi la "water salute" ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa safari hizo ambazo zimerejeshwa kwa mara nyingine baada ya kusitishwa kwa miaka mitano. . #airlines #airtanzania #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviationcareer #aviationtanzania#aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv

Comments