
Aviation Tanzania 🇹🇿
February 19, 2025 at 09:08 AM
https://www.instagram.com/p/DGP65f8Nan7/?igsh=aTV1djVhMGFnNHA4
*Kenya Airways Yapokea Ndege Mpya, Boeing 737-800.*
Shirika la ndege la @officialkenyaairways leo Februari,16 2025, limepokea ndege yake mpya aina ya Boeing 737-800, hatua inayoongeza uwezo na urahisi wa mtandao wake wa safari.
Ongezeko hili limetajwa kuwa sehemu ya dhamira ya shirika hilo ya kuendelea kutoa huduma bora za usafiri wa anga barani Afrika na nje ya Afrika.
.
#airlines #kenyaairways #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviationcareer #aviationtanzania✈ #aviata #aviat