Find WhatsApp Channels
Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.
Channels & Posts for #aviatatv
Posts
Aviation Tanzania on Instagram: "Small Plane Makes Emergency Belly Landing in Texas. A pilot made an emergency belly landing on a foam-covered runway at an airport in Arlington, Texas on Thursday after reporting equipment issues. According to the Federal Aviation Administration (FAA), there were two people onboard the small aircraft at the time. No injuries have been reported. Emergency crews responded by covering the runway with foam as a safety precaution before the landing. #bellylanding #aircraft #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv"
https://www.instagram.com/reel/DKAass2spCn/?igsh=MTUzMXFqeDhuYWVqOA== *Small Plane Makes Emergency ...
Aviation Tanzania on Instagram: "Ndege ya Jeshi la anga la Morocco, F-16 ikijaza mafuta angani Katika Mazoezi ya Kivita na Marekani. Tazama ndege ya kivita aina ya F-16 ya Jeshi la Anga la Morocco ikijaza mafuta angani kutoka kwenye ndege ya Jeshi la Anga la Marekani, ya KC-135 ya wakati wa mazoezi ya pamoja ya kijeshi yanayoendelea nchini Morocco. Zoezi hilo ni sehemu ya mafunzo ya African Lion, ambayo yanaendelea hadi Mei 23,2025 yakilenga kufanyia mazoezi ujuzi wa kujaza mafuta angani katika mazingira ya kivita. #africanlionexcercise #f16 #kc135 #airrefueling #aircraft #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv"
https://www.instagram.com/reel/DJ3W9v8MIJg/?igsh=b2Z6c3B3am0zZTJ3 *Ndege ya Jeshi la anga la Morocc...
Aviation Tanzania on Instagram: "Miscommunication Leads to Near-Miss Incident at Chicago Midway Airport A serious runway safety incident occurred at Chicago Midway International Airport on Tuesday morning when a private jet crossed an active runway just as a Southwest Airlines flight was about to land. According to air traffic control (ATC) communications, the FlexJet Flight LXJ560 pilot was repeatedly instructed to "hold short" of Runway 31C but did not comply correctly. Instead, the private jet moved onto the live runway, creating a dangerous situation. At that moment, Southwest Airlines Flight WN2504 was descending for landing. To avoid a collision, the Southwest pilot quickly aborted the landing and performed a go-around. Despite repeated instructions, the private jet proceeded across the runway, prompting the Southwest pilot to take evasive action. . #atc #southwestairlines #safety #aircraft #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv"
https://www.instagram.com/reel/DGidNgotM3r/?igsh=MXZlZXFxNnRoNGNiMQ== *Miscommunication Leads to Ne...
Aviation Tanzania on Instagram: "Tazama Ndege za kivita za Jeshi la Anga la Italia, Eurofighter Typhoon, zikiimarisha ulinzi wa ndege ya American Airlines safari namba AA292 baada ya ndege hiyo kupokea tishio la bomu. Ripoti zisizo rasmi zimeeleza kuwa, kuwa bomu lingelipuka ikiwa ndege hiyo ingeshuka chini ya futi 10,000 wakati wa kushuka kuelekea Delhi. Kutokana na tahadhari, wahudumu wa ndege waliamua kugeuza mwelekeo wake walipokuwa wakiruka juu ya Bahari ya Caspian. Ndege hiyo, aina ya Boeing 787-9 Dreamliner (N480AN), iliyokuwa ikifanya safari kutoka New York kuelekea Delhi, ilikuwa imebeba zaidi ya abiria 280, ililazimika kutua katika Uwanja wa Ndege wa Fiumicino (FCO) huko Roma kwa usalama. Abiria wote waliokuwa ndani ya ndege hiyo walitolewa salama mara baada ya kutua. . #bombthreat #americanairlines #boeing7879 #eurofighertyphoon #airsafety #safety #aircraft #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv"
https://www.instagram.com/reel/DGcan4QtCpc/?igsh=bTlqOWI2OXU1OHow *Tazama Ndege za kivita za Jeshi...
Aviation Tanzania on Instagram: "Ndege ya Air Tanzania aina Bombardier Q400 ikiwasili katika uwanja wa ndege Iringa siku ya jana Februari 22,2025 katika uzinguzi wa safari za Dar es Salaam-Iringa. Ndege hiyo iliwasili Iringa majira ya saa 3:45 asubuhi ikiwa na abiria 76, na kufanyiwa zoezi la "water salute" ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa safari hizo ambazo zimerejeshwa kwa mara nyingine baada ya kusitishwa kwa miaka mitano. . #Airlines #airtanzania #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviationcareer #aviationtanzania✈ #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv"
https://www.instagram.com/reel/DGZzadPN-MR/?igsh=MXVraW93dDNxdzY0ZQ== Ndege ya Air Tanzania aina Bo...
Aviation Tanzania on Instagram: "Air Tanzania yarejesha safari za Dar-Iringa baada ya kusitishwa kwa miaka mitano. Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) limerejesha safari zake za anga kati ya Dar es Salaam na Iringa baada ya kusitisha huduma hiyo kwa takriban miaka mitano tangu Juni 2020. Hatua hii inafuatia kukamilika kwa mradi wa ukarabati na upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa, uliogharimu takriban shilingi bilioni 63.742. Ukarabati huo, uliofanywa kwa ushirikiano kati ya Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), umekamilika kwa asilimia 95 na kuwezesha kuanza kwa safari hizo mara tatu kwa wiki. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, ameyabainisha hayo katika hafla ya uzinduzi wa safari hizo iliyofanyika leo Februari 22, 2025, mkoani Iringa. Nauli ya safari za Dar es Salaam-Iringa imetajwa kuwa ni shilingi 122,200 kwa safari moja kutoka Dar es Salaam hadi Iringa na shilingi 199,000 safari ya kwenda na kurudi. . #Airlines #airtanzania #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviationcareer #aviationtanzania✈ #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv"
https://www.instagram.com/p/DGYPP3kNRQz/?igsh=NHdwNm5hOWR6dmtp *Air Tanzania yarejesha safari za Da...
Aviation Tanzania on Instagram: "Chuo cha Mafunzo ya Usafiri wa Anga Tanzania (CATC) kinatarajia kuanza awamu mpya ya mafunzo ya urushaji wa ndege nyuki (drones) kuanzia April, 8, 2025. Mafunzo haya yanalenga kuwapa washiriki ujuzi wa kitaalamu katika uendeshaji wa ndege zisizo na rubani, ambazo zinazidi kutumika katika sekta mbalimbali kama sekta ya usalama, kilimo, utafiti na usafirishaji wa mizigo midogo. Kwa mujibu wa CATC, mafunzo haya yatadumu kwa muda wa wiki nne na gharama ya ada ni Shilingi milioni 1.4 za Kitanzania. Mbali na gharama za ada, mshiriki atatakiwa kulipia gharama za vipimo vya kiafya ambavyo atatakiwa kuvifanya kabla ya kuanza mafunzo. Mafunzo haya yanatarajiwa kusaidia kuongeza idadi ya marubani wa ndege nyuki waliobobea, kuendana na maendeleo ya teknolojia ya anga nchini Tanzania. #aviationtraining #dronepilot #catctanzania #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviationcareer #aviationtanzania✈ #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv"
https://www.instagram.com/p/DGXRyhftJbJ/?igsh=c2p4b280a3gyYngw *Chuo cha Mafunzo ya Usafiri wa Ang...
Aviation Tanzania on Instagram: "Ndege mbili zagongana angani, Abiria wa ndege moja wapoteza maisha, ndege nyingine wabaki salama. Watu wawili wamepoteza maisha baada ya ndege mbili kugongana angani karibu na Uwanja wa Ndege wa Marana, Arizona, Februari 19,2025. Ajali hiyo ilihusisha ndege aina ya Cessna 1725 (N463ER) na Lancair 360 MK II (N3602M),ambazo ziligongana karibu na mwisho wa barabara ya ndege namba 12 huku kila moja ikiwa na abiria wawili ndani yake. Kufuatia ajali hiyo, Lancair ilianguka na kushika moto, na kusababisha vifo vya abiria wake wote wawili na ndege ya Cessna 1725 ilifanikiwa kutua salama, na abiria wote wawili wameripotiwa kuwa salama bila ya majeraha. Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Marekani (FAA) na Bodi ya Kitaifa ya Usalama wa Usafiri (NTSB) zinafanya uchunguzi ili kubaini chanzo cha ajali hiyo. . #accident #planecrash #cessna1725 #lancair #360mk #safety #aircraft #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv"
https://www.instagram.com/reel/DGS58Izt1Uy/?igsh=amVzaWJrMWpkbXQ5 *Ndege mbili zagongana angani, Ab...
Aviation Tanzania on Instagram: "The Federal Aviation Administration (FAA) has found a safety risk in some Boeing 747 aircraft due to water leaks that could damage important electronic systems. This issue came to light after an incident where water from the aircraft's drinking water system leaked because of a faulty connection. The leak affected the engine warning and alert system, which provides critical information to pilots. To prevent future incidents, the FAA has issued a new safety rule requiring airlines to install protective barriers, such as shields and covers, over water pipes to stop leaks from reaching key electronics. This rule will take effect on March 21, 2025, and airlines in the U.S. must make the necessary changes to 178 affected aircraft, at an estimated cost of $1.2 million. These changes aim to ensure flight safety by keeping water away from essential flight control systems. #faa #waterleak #boeing747 #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviationcareer #aviationtanzania✈ #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv"
https://www.instagram.com/p/DGSZDO6NSTy/?igsh=MWJrdzNpdnR5dzd3aw== The Federal Aviation Administrat...
Aviation Tanzania on Instagram: "Mbali na matumizi ya kawaida ya ndege nyuki (drones) kwa ajili ya kurekodi picha na video katika uzalishaji wa maudhui, teknolojia hii pia inatumika kwa matumizi mengine muhimu. Katika Wilaya ya Korogwe, drones zinatumika kufukuza wanyama wakubwa kama tembo ili kuzuia wasiingie katika makazi ya watu wanaoishi jirani na hifadhi ya wanyamapori. 🎥 credit- @kadoshitv_ . #drone #dronepilot #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviationcareer #aviationtanzania✈ #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv"
https://www.instagram.com/reel/DGORg9TNmxV/?igsh=MTMzZnp4bmRvdjJrcA== Mbali na matumizi ya kawaida ...
Aviation Tanzania on Instagram: "Shirika la ndege la Air Tanzania lazindua safari za Dar es salaam- Mtwara,Nauli 199,000. Shirika la ndege la Air Tanzania leo Februari 18, 2025 limezindua rasmi safari zake katika miji ya Mtwara-Dar es salaam hatua inayotarajiwa kuimarisha uchumi katika mkoa wa Mtwara na mikoa ya Jirani. Akizungumza katika uzinduzi wa safari hizo,Rubani kiongozi wa Shirika hilo, Captain Arif Jinnah amebainisha kuwa safari hizo zitasaidia kuunganisha wasafiri na mtandao mpana wa Air Tanzania wenye vituo Zaidi ya 25 na miruko Zaidi ya 120 kwa wiki ndani na nje ya nchi. Gharama za nauli katika safari hiyo zimetajwa kuwa ni kiasi cha shilingi 199,000 huku nauli hizo zikipewa jina la "Samia Fares" (Nauli ya mama) . #Airlines #airtanzania #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviationcareer #aviationtanzania✈ #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv"
https://www.instagram.com/p/DGN8OZJN4m1/?igsh=cmludXE4azdvZWRt *Shirika la ndege la Air Tanzania l...
Aviation Tanzania on Instagram: "TCAA yasisitiza udhibiti wa matumizi ya "drones" kwa usalama wa anga Tanzania. Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imetoa onyo kali kwa watumiaji wa ndege zisizo na rubani (drones), ikisisitiza kuwa matumizi yasiyo na vibali yanaweza kuhatarisha usalama wa anga. Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Bw.Salim Msangi, amebainisha kuwa kumekuwepo na ongezeko la matumizi holela ya drones,kwa watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari, hali inayokiuka sheria na kutishia usalama kwa safari za anga. Bwana Msangi amezungumza hayo,leo Februari 17, 2025, katika hafla ya kukabidhi misaada kwa wafungwa wa Gereza Kuu la Karanga, Moshi na kuongeza kuwa sheria inawataka watumiaji wa drones kupata vibali maalum kabla ya kuzitumia. Ameeleza kuwa drones zinapaswa kusajiliwa kama ilivyo kwa ndege nyingine, na matumizi yake lazima yaidhinishwe na mamlaka husika. Msangi amesisitiza kuwa maeneo nyeti kama magereza na taasisi za kijeshi ni marufuku kurusha ndege za drones, na yeyote atakayekiuka sheria atachukuliwa hatua kali, ikiwemo kushtakiwa. Pia, ameonya kuwa matumizi yasiyodhibitiwa yanaweza kusababisha ajali za anga, akitoa tahadhari dhidi ya uwezekano wa drones kugongana na ndege kubwa zinazobeba abiria. . #Airlines #tcaa #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviationcareer #aviationtanzania✈ #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv"
https://www.instagram.com/p/DGLvaWRNkaQ/?igsh=cHd4YW5xYWNhYTcx *TCAA yasisitiza udhibiti wa matumi...