Find WhatsApp Channels

Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.

Channels & Posts for #enyo

Posts

Hasira husababisha mwili kuingia katika hali ya "k...

Hasira husababisha mwili kuingia katika hali ya "kupigana au kukimbia," ambapo ubongo (hasa eneo la ...

Kunywa chai ya tangawizi asubuhi husaidia kusisimu...

Kunywa chai ya tangawizi asubuhi husaidia kusisimua mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na kuongeza kasi ...

Tikiti maji ni tunda lenye maji Mengi na virutubis...

Tikiti maji ni tunda lenye maji Mengi na virutubisho ambavyo vina faida kubwa kwa mwili wa binadamu....

Kunywa Maji kwa Mda Mwafaka huboresha Afya ya Mwil...

Kunywa Maji kwa Mda Mwafaka huboresha Afya ya Mwili 🤤Kunywa Glass Moja ya Maji Kabla ya kulala Hu...

JINSI AKILI YAKO INAVYOKUZUIA KUPUNGUZA KITAMBI📌 ...

JINSI AKILI YAKO INAVYOKUZUIA KUPUNGUZA KITAMBI📌 Katika harakati za kupunguza uzito na kitambi, wa...

Aviation Tanzania on Instagram: "Mmiliki wa mnyama jamii ya sungura ameanzisha ombi la kutaka shirika la ndege la Uingereza, Loganair, kubadilisha sera zake za usafirishaji wa wanyama baada ya sungura wake anayefahamika kama Romeo kukataliwa kupanda ndege akiwa katika hali ya dharura kiafya. Romeo, ambaye anaishi kwenye kisiwa cha Papa Westray kilichopo katika visiwa vya Orkney kaskazini mwa Scotland, alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa hatari unaojulikana kama “gastrointestinal stasis”, hali inayosababisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kusimama. Kwa mujibu wa mmiliki wake, usafiri wa feri hutumiwa mara nyingi kumpeleka Romeo kwa daktari wa wanyama,lakini hali mbaya ya hewa ilisababisha feri nyingi kushindwa kufanya kazi, na ndege za shirika la Loganair kuwa namna pekee ya usafiri iliyosalia. Lakini, sera za Loganair zinaruhusu usafirishaji wa paka na mbwa pekee, bila kuwepo kwa ubaguzi hata kwa hali ya dharura kama hii. Romeo anaishi kwenye kisiwa cha Papa Westray, sehemu ya visiwa vya Orkney vilivyo kaskazini mwa Scotland, ambako kuna wakazi wasiozidi 90 na hakuna daktari wa wanyama. Kwa kawaida, safari ya kutafuta matibabu huhusisha feri mbili na basi. Njia hii pia hutumiwa na ndege za Loganair, ambazo hutegemewa sana na wakazi wa visiwa hivyo. Jumatano iliyopita, Romeo alianza kuugua kwa kasi na alihitaji matibabu ya haraka kutoka kwa daktari. Kwa kuwa safari za feri zilifutwa kutokana na dhoruba, ndege ya Loganair ndiyo iliyobaki kuwa tumaini pekee. Lakini, sera kali ya shirika hilo kuhusu usafirishaji wa wanyama ilimzuia Romeo kusafiri. Kwa sasa, Loganair huruhusu tu paka na mbwa kusafiri kwenye ndege zao, hasa zile ndogo aina ya Britten-Norman BN-2 Islander zenye uwezo wa kubeba abiria nane tu. Shirika hilo limetoa tamko kwamba hawasafirishi wanyama wengine kwa kuhofia “kufungua mlango kwa kila aina ya mnyama kuomba kusafirishwa”. Mmiliki wa Romeo sasa ameanzisha ombi la kutaka Loganair ibadilishe sera zake ili kusaidia wanyama wengine wanaoishi katika maeneo ya mbali kama Papa Westray, hasa wakati wa dharura. #airline #rabbit #animalrights #loganair #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"

https://www.instagram.com/p/DKmdyh-NrHG/?igsh=eWcyajFsanNwN2Jp *Sungura “Romeo” akosa matibabu ya d...

[5/20, 2:04 PM] null: IGBO (1a) Obodo m bụ obodo ...

[5/20, 2:04 PM] null: IGBO (1a) Obodo m bụ obodo na-ama jijiji na nke dị iche iche nke dị n'ime obi...

*VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS)* ✍🏾Vidonda vya...

*VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS)* ✍🏾Vidonda vya tumbo ni ugonjwa wa mfumo wa mmeng’enyo wa chakul...

Enyo | Boomplay Music

https://www.boomplay.com/share/music/199567835?srModel=COPYLINK&srList=IOS NEWS IN: CHECK BOOMPLAY ...

Magonjwa ya Zinaa (STIs)* ↪️Wanaume wanaoshiriki...

Magonjwa ya Zinaa (STIs)* ↪️Wanaume wanaoshiriki mapenzi na wanaume wenzao (MSM) wako kwenye hatar...

Log in or sign up to view

http://facebook.com/share/p/1A4 Hey famz! I've got a new post on my new facebook page, kindly click ...

🐞Uharibifu wa mishipa ya fahamu inayohusika bna m...

🐞Uharibifu wa mishipa ya fahamu inayohusika bna mmeng'enyo ( *digestion* ) na kusababisha tatizo la...