Find WhatsApp Channels
Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.
Channels & Posts for #fursa
Channels

Jerasp | Ajira Za Afya
Tafuta ajira za wataalamu wa afya kwa urahisi! Tunatangaza fursa zote za kazi ka...

UTUMISHI PORTAL
Pata Matangazo yote ya kazi kutoka ✓ Utumishi ✓ Ajiraportal ✓ Makampuni ✓ NGOs ✓...

Ajira Tanzania
Karibu kwenye channel yetu rasmi ya Ajira AI! 🔥💼 Tunakuunganisha na fursa bora...
FURSA ZA AJIRA - Opportunities Hub
Pata matangazo yote ya kazi kutoka >Utumishi >Ajiraportal >Makampuni >NG...

Fursa Board 🇹🇿
A listing of available education, jobs and career advancement opportunities in U...

assengaonline.com
Karibu Kwenye Group la Fursa Mbali mbali za Elimu na Ajira pamoja na habari mbal...

Kigoma Region Tanzania
Jumuiya ya Watu wa Kigoma (Kigoma People's Community) Lengo kuu ni kuwaleta wan...

Careers For Kenyan Youth "Fursa Ya Ajira"
At Careers for the Kenyan Youth (Fursa ya Ajira), we make your job hunting easie...
Posts
Kila Mtoto Ana Mahitaji Yake! Huduma jumuishi ni n...
Kila Mtoto Ana Mahitaji Yake! Huduma jumuishi ni njia ya kujenga fursa sawa kwa wote — bila kumwacha...
Aviation Tanzania on Instagram: "RC Makonda Ashuhudia Safari Mpya ya Flightlink Kutoka Nairobi Hadi Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, @baba_keagan , leo Juni 17,2025 ametembelea katika Uwanja wa Ndege wa Arusha na kushuhudia kwa mara ya kwanza safari mpya ya ndege ya shirika la Flightlink iliyoanzia Uwanja wa Ndege wa Wilson, jijini Nairobi, Kenya hadi uwanja wa ndege wa Arusha. RC Makonda alipata fursa ya kufanya mazungumzo na Mkuu wa Uendeshaji wa Flightlink Bw.Jameel Kassam kuhusu umuhimu wa safari hizo kwa mkoa wa Arusha na maendeleo ya sekta ya utalii na biashara. Safari hii mpya ya moja kwa moja kati ya Arusha (ARK) na Nairobi (WIL) ni ya kwanza kuanzishwa nchini Tanzania, safari ambayo hutumia muda wa Dakika 45. #Airlines #flightlink #newroute #routeexpansion #atr72 #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"
https://www.instagram.com/p/DK9QCgltxDb/?igsh=NjlkaTJnc3dzN3dk *RC Makonda Ashuhudia Safari Mpya ya...
Coca-Cola Kwanza Limited, Vacancy – June 2025
💥MPYA: FURSA NA NAFASI ZA KAZI KUTOKA KAMPUNI YA COCA-COLA KWANZA LIMITED - June 2025 Kwa maelezo ...
*DKT. NCHEMBA: RAIS WA AfDB DKT. AKINWUMI ADESINA ...
*DKT. NCHEMBA: RAIS WA AfDB DKT. AKINWUMI ADESINA NI MWANA THABITI WA AFRIKA* Waziri wa Fedha, Mhe....
ATCL, 64 Vacancies Opportunities – June 2025
💥MPYA: FURSA 64 NA NAFASI MBALIMBALI ZA KAZI KUTOKA AIR TANZANIA LIMITED (ATCL) - June 2025 Kwa ma...
MDA’S LGA’S, 6732 Vacancies – June 2025
💥BREAKING NEWS: NAFASI 6732 MBALIMBALI ZA KAZI KUTOKA IDARA MBALIMBALI ZA SERIKALI (MDA'S) - June 2...
MDA’S LGA’S, 6732 Vacancies – June 2025
💥BREAKING NEWS: NAFASI 6732 MBALIMBALI ZA KAZI KUTOKA TAASISI NA IDARA MBALIMBALI ZA SERIKALI (MDA'...
Aviation Tanzania on Instagram: "Precision Air yatembelea Kituo cha watoto Cornel Ngaleku, kumuenzi muanzilishi wa Shirika hilo. Shirika la ndege la @precisionairtz limepata fursa ya kutembelea Kituo cha Watoto cha Cornel Ngaleku na kutoa msaada wao wa upendo kwa watoto waliopo kituoni hapo. Kupitia ujumbe wake rasmi, shirika hilo limeeleza kuwa, ziara hiyo pia imefanyika Kama namna ya kumuenzi mwanzilishi wa shirika hilo, marehemu Michael Shirima, ambaye ndoto na maono yake bado yanaendelea kuwa dira ya huduma na mshikamano wa kijamii. Kupitia tukio hilo, Precision Air imeeleza kuguswa na furaha iliyosambaa kwenye nyuso za watoto hao, jambo linalothibitisha nguvu ya huruma na mshikamano wa jamii. #Airlines #pw #precisionair #youarewhywefly #aviationlovers #aviationcareer #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"
https://www.instagram.com/p/DK2aM52tiI9/?igsh=MncyMDFtYjBhMzd1 *Precision Air yatembelea Kituo cha ...
ASSISTANT NURSING OFFICER II, 4015 Vacancies – June 2025
💥BREAKING NEWS: NAFASI 4015 ZA KAZI (ASSISTANT NURSING OFFICER II) KUTOKA UTUMISHI - June 2025 Kwa...
GIZ Tanzania, Job Opportunity – June 2025
💥MPYA: FURSA NA NAFASI ZA KAZI KUTOKA SHIRIKA LA GIZ TANZANIA - June 2025 Kwa maelezo zaidi kuhusu...
*MAJALIWA: TUTAENDELEA KUWALINDA NA KUWAPATIA FURS...
*MAJALIWA: TUTAENDELEA KUWALINDA NA KUWAPATIA FURSA STAHIKI WATU WENYE ULEMAVU.* _▪️Asema hadi kuf...
Aviation Tanzania on Instagram: "Wanafunzi wa Shule ya Alpha wapelekwa Kenya kupata mafunzo ya urubani wakati wa likizo. Shule ya Sekondari ya @alphaschoolstz imewapeleka wanafunzi wake nchini Kenya kwa ajili ya kupata mafunzo ya urubani katika kipindi cha likizo ya mwezi wa sita. Hii ni sehemu ya mwendelezo wa somo la Aviation lililoanzishwa na shule hiyo mwezi Mei 2022 kwa wanafunzi wa Kidato cha Kwanza hadi cha Sita. Kupitia programu hii ya kipekee, wanafunzi hujifunza kwa vitendo urushaji wa ndege pamoja na kupata uzoefu na ujuzi wa kutosha katika sekta ya usafiri wa anga. Mafunzo haya yanajumuisha vipindi vya nadharia darasani pamoja na mazoezi ya kurusha ndege yanayofanyika moja kwa moja kwa vitendo. Programu hii inalenga kuwajengea wanafunzi msingi bora wa taaluma ya urubani na kuwaandaa kwa fursa mbalimbali ndani ya sekta ya anga, huku wakiendelea kufuata ndoto zao za kuwa marubani wa baadaye. #aviationtraining #alphaschool #futureaviators #aviationcareer #futurepilots #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"
https://www.instagram.com/p/DK1r4EfNtRu/?igsh=bzQwbGUwM2R6a2l1 *Wanafunzi wa Shule ya Alpha wapelek...