Find WhatsApp Channels

Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.

Channels & Posts for #shinyanga

Posts

SIKU NNE ZA VIWANGO VYA UMILIKI Maandalizi ya Mku...

SIKU NNE ZA VIWANGO VYA UMILIKI Maandalizi ya Mkutano wa Injili wa viwango vya umiliki umekamilika ...

Asante sana kwa wafanyakazi wa Benki yetu, wateja ...

Asante sana kwa wafanyakazi wa Benki yetu, wateja pamoja na wanajamii wote walioungana nasi kwenye z...

Kampuni ya Raphael Logistics Jana tar 5 Jun 25 ime...

Kampuni ya Raphael Logistics Jana tar 5 Jun 25 imeaza safari ya kubeba boti hii kutoka Mkoani Mtwara...

HAKUNA KURUDI NYUMA NI MBELE KWA MBELE. SAA YA WOK...

HAKUNA KURUDI NYUMA NI MBELE KWA MBELE. SAA YA WOKOVU NI SASA.... 2 Wakoritho 6:2 Hii hapa tena ku...

Mzigo huu wa abnormal utasafiri kwa wastani wa mwe...

Mzigo huu wa abnormal utasafiri kwa wastani wa mwezi mmoja kuanzia leo tarehe 05.06.2025 kutoka Mtwa...

Kampuni ya usafirishaji ya “Raphael Logistics” leo...

Kampuni ya usafirishaji ya “Raphael Logistics” leo Asubuhi Imeanza Safari ya kubeba boti hii kutoka ...

*New Drive to Boost Transparency and Public Engage...

*New Drive to Boost Transparency and Public Engagement in Mining Sector* 📍_Shinyanga, June 5, 2025...

New Jobs at Shinyanga Municipal Council

✍️✍️✍️ NAFASI ZA AJIRA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 https://t.co/...

Aviation Tanzania on Instagram: "Air Tanzania yajipanga kuanza safari za ndani na nje ya nchi Katika maeneo haya. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la @airtanzania_atcl , Mhandisi Peter Ulanga, ametaja maeneo kadhaa ndani na nje ya nchi yanayohitaji kwa kiwango kikubwa huduma ya usafiri wa anga, akieleza kuwa tayari imeanza kuweka mipango kwa ajili ya kufanikisha huduma hizo. Akizungumza katika mahojiano na Shirika la Habari la TBC, Mhandisi Ulanga alisema kuwa ndani ya nchi, maeneo ya Musoma, Shinyanga na hasa Bukoba yanaonesha uhitaji mkubwa wa huduma za ndege na kubainisha kuwa Bukoba ndiyo eneo lenye mahitaji ya juu zaidi, huku serikali ikiwa tayari imewekeza katika ujenzi na ukarabati wa viwanja vya ndege katika maeneo hayo. Kwa upande wa safari za kimataifa, Mhandisi Ulanga alieleza kuwa taifa jirani la Msumbiji limeomba Air Tanzania kuanzisha safari zake kuelekea miji ya Maputo, Beira, Nampula na Pemba. Aidha, shirika hilo pia linaangazia uwezekano wa kuanzisha safari kuelekea visiwa vya Mayotte na Shelisheli, maeneo maarufu kwa vivutio vya utalii na biashara. Katika mipango yake ya ndani zaidi, Air Tanzania inatarajia kufungua safari za moja kwa moja kuelekea visiwa vya Pemba, Mafia na hifadhi ya Serengeti, hasa wakati wa msimu wa utalii, hatua ambayo inalenga kuimarisha utalii wa ndani na kuongeza mapato kwa taifa. Hadi sasa, Shirika la Ndege la ATCL linahudumia maeneo 14 ndani ya nchi. Katika bara la Afrika, linatoa huduma katika vituo 10, na nje ya Afrika linafika katika vituo vitatu. #routeexpansion #airline #airtanzania #airtanzania_atcl #aviationcareer #aviationlovers #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"

https://www.instagram.com/reel/DJ_P3Qas5B2/?igsh=ZDNzY2o3cnBqb3Z4 *Air Tanzania yajipanga kuanza sa...

Become a Delegate at the Tanzania Mental Health Summit 2025 – 2027 - Opportunities for Youth

Become a Delegate at the Tanzania Mental Health Summit 2025 – 2027 The Tanzania Mental Health Summi...

VISHOKA WA TAALUMA YA OPTOMETRIA WAONDOLEWA VITUON...

VISHOKA WA TAALUMA YA OPTOMETRIA WAONDOLEWA VITUONI Na WAF - KAHAMA Msajili wa Baraza la Optometri...

🫂Become a Delegate at the Tanzania Mental Health ...

🫂Become a Delegate at the Tanzania Mental Health Summit 2025 – 2027 The Tanzania Mental Health Sum...