
Aviation Tanzania 🇹🇿
February 18, 2025 at 05:48 PM
https://www.instagram.com/reel/DGORg9TNmxV/?igsh=MTMzZnp4bmRvdjJrcA==
Mbali na matumizi ya kawaida ya ndege nyuki (drones) kwa ajili ya kurekodi picha na video katika uzalishaji wa maudhui, teknolojia hii pia inatumika kwa matumizi mengine muhimu.
Katika Wilaya ya Korogwe, drones zinatumika kufukuza wanyama wakubwa kama tembo ili kuzuia wasiingie katika makazi ya watu wanaoishi jirani na hifadhi ya wanyamapori.
🎥 credit- @kadoshitv_
.
#drone #dronepilot #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviationcareer #aviationtanzania✈ #aviata #aviataupdates #aviatamedia #aviatatv