
Aviation Tanzania 🇹🇿
June 15, 2025 at 06:00 PM
https://www.instagram.com/p/DK7j_6TNByQ/?igsh=MTlqM21mcGV4M2M4ag==
*Flightlink yazindua safari mpya kati ya Arusha-Nairobi, ARK-WIL.*
Shirika la ndege la @flightlinktz Leo Juni 15,2025 limezindua rasmi safari yake ya kwanza kati ya mji wa Arusha na Nirobi.
Safari hiyo ilianzia katika uwanja wa ndege wa Arusha (ARK) kuelekea katika uwanja wa ndege wa Wilson (WIL).
Aidha shirika hilo linnapanga kuongeza safari nyingine ya kimataifa kutoka Arusha -Zanzibar - Jomo Kenyatta ifikapo tarehe 1 Julai 2025.
#airlines #routeexpansion #flightlink #aviationlovers #aviationcareer #atr72500 #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates