Find WhatsApp Channels

Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.

Channels & Posts for #jenerali

Posts

𝐓𝐇𝐄 𝐊𝐄𝐍𝐘𝐀𝐍 𝐏𝐀𝐏𝐄𝐑𝐒 𝐓𝐎𝐃𝐀𝐘 𝐁�...

𝐓𝐇𝐄 𝐊𝐄𝐍𝐘𝐀𝐍 𝐏𝐀𝐏𝐄𝐑𝐒 𝐓𝐎𝐃𝐀𝐘 𝐁𝐔𝐒𝐈𝐍𝐄𝐒𝐒 𝐃𝐀𝐈𝐋𝐘: 𝑰𝒔𝒓𝒂𝒆𝒍-𝑰𝒓𝒂𝒏 𝒘...

Pacifique Nininahazwe

https://www.facebook.com/share/p/14q4P3L4js/ 🔴 Israel na Irani : isi yoba igira yinjire mu yindi nt...

Imebainika kuwa siku chache kabla ya kifo cha Albe...

Imebainika kuwa siku chache kabla ya kifo cha Albert Ojwang’, maafisa wa GSU walivamia kwa siri maka...

Maseneta wamtuliza seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ...

Maseneta wamtuliza seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kufuatia mzozo na mwenzake wa Garissa Mohamed Haji...

Iyi si: Muri Uganda,ngo Perezida Yoweli Kaguta Mus...

Iyi si: Muri Uganda,ngo Perezida Yoweli Kaguta Museveni Tibuhaburwa ni [i]mana naho Jenerali Muhoozi...

Iyi si: Jean Pierre Bemba « amennye umuceri »(umug...

Iyi si: Jean Pierre Bemba « amennye umuceri »(umugani w’ab’ubu) . Hano agize ati: (1) Ibitero byose...

Pacifique Nininahazwe

https://www.facebook.com/share/p/1CuLeSJUcP/ #IcoNabonye (ico nabwiwe) 🔴 Prezida Nkurunziza yishwe...

Katika jukumu muhimu la kuhakikisha ulinzi na usal...

Katika jukumu muhimu la kuhakikisha ulinzi na usalama ndani ya nchi yetu, leo nimeshiriki sherehe ya...

Aviation Tanzania on Instagram: "TAA yatangaza kuanza Kwa safari mpya za shirika la ndege la Flightlink. Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania @tanzaniairports imetangaza kuanza kwa safari mpya za anga za shirika la ndege la @flightlinktz kati ya miji ya Arusha na Nairobi, kuanzia tarehe 15 Juni 2025. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na TAA, Flightlink itaanzisha safari ya kila siku kutoka Arusha kwenda Nairobi, ikiwa ni hatua muhimu katika kuboresha huduma za usafiri wa anga katika ukanda wa Kaskazini mwa Tanzania. Katika maandalizi ya safari hizo,TAA ikishirikiana na Ofisi ya Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, iko mbioni kukamilisha mfumo wa upokeaji na upangaji wa maafisa wa uhamiaji katika Uwanja wa Ndege wa Arusha ili kuhakikisha safari hizo zinafanyika kwa ufanisi. TAA imesisitiza kuwa inaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya usafiri wa anga kuhakikisha huduma bora kwa abiria na kuwezesha maoni kutoka kwa watumiaji wa viwanja vyake ili kuboresha huduma zaidi. #Airlines #flightlink #aviationlovers #aviationcareer #ys #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"

https://www.instagram.com/p/DKZPgzoMsxD/?igsh=YTdveW5ndnF5ZnRt *TAA yatangaza kuanza Kwa safari mpy...

Pacifique Nininahazwe

https://www.facebook.com/share/p/1C4v2FEx95/ #Amatora Ntibikiri ibanga, Gervais Ndirakobuca azitoza ...

Pacifique Nininahazwe

https://www.facebook.com/share/v/16gW1cvVyp/ Prezida Domitien Ndayizeye arafise ikintu gikomeye yisa...

Aviation Tanzania on Instagram: "TCAA na Idara ya uhamiaji wasaini mpango wa kubadilishana taarifa Kidijitali. Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania @officialtcaa na Idara ya Uhamiaji @uhamiajitz leo Mei 27,2025 wameingia katika makubaliano rasmi ya kushirikiana katika kubadilishana taarifa kwa njia ya kidijitali, hatua inayolenga kuimarisha usalama wa anga, kuongeza ufanisi wa huduma, na kuboresha takwimu muhimu, hususan katika sekta ya utalii. Makubaliano hayo yamefanyika jijini Dodoma katika makao makuu ya Idara ya Uhamiaji na kushuhudiwa na viongozi waandamizi kutoka taasisi zote mbili,yakisiniwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Bw. Salim Msangi, na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Bi. Anna Makakala. Bw. Msangi alisema kuwa mpango huu umeanzishwa katika kipindi mwafaka ambapo matumizi ya teknolojia ya kisasa yazidi kuongezeka Kwa kasi duniani. If Alieleza kuwa kupitia ushirikiano huo, TCAA itaongeza ufanisi wa operesheni zake, kuimarisha usalama wa anga na kusaidia katika udhibiti bora wa wageni wanaoingia na kutoka nchini kupitia viwanja vya ndege. Kwa upande wake, Kamishna Jenerali Makakala alibainisha kuwa Idara ya Uhamiaji itaendeleza ushirikiano wa karibu na TCAA ili kuhakikisha kuwa taarifa za abiria na safari za anga zinawasilishwa kwa usahihi na kwa wakati. Mpango huu pia unatarajiwa kuboresha ukusanyaji wa takwimu za wageni wanaoingia nchini, jambo litakalosaidia katika kupanga mikakati madhubuti ya kukuza sekta ya utalii na uchumi wa taifa kwa ujumla. #tcaa #tanzaniacivilaviationauthority #aviationcareer #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdate"

https://www.instagram.com/p/DKKWl8mMhJF/?igsh=emt0NGtlZG1oMTZi *TCAA na Idara ya uhamiaji wasaini m...