Find WhatsApp Channels

Discover the best WhatsApp channels for news, entertainment, education and more. Our powerful search helps you find exactly what you're looking for.

Channels & Posts for #karibuni

Channels

iMalaika fashion

Karibuni dukani kwetu! Tunauza gauni nzuri za Ofisini, Kanisani, Casual, plus si...

2.1K subscribers View

IMANI MAWAIDHA CHANNEL

Asalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh, Karibu katika safu za Imani Mawaidh...

1.1K subscribers View

ShombyInvestment

*KARIBU SANA KWENYE CHANNEL YETU* •Tuna furaha kukualika katika safari yetu ya k...

483 subscribers View

KIDIAONE EXPRESS BUS

Official Kidia One Channel Kwa habari zote muhimu utazipata kwenye chanell yetu ...

41 subscribers View

MKUNGA WELLNESS HEALTH CARE 🩺🩸

Official page for health matters Hi👋🏻 Habari kwa kila mmoja aliyepo humu ni si...

20 subscribers View

MAFUNZO YA KUAGIZA BIDHAA KUTOKA CHINA N.K PIA HUDUMA ZA EXCHANGE RATE YA ¥ (RMB) TO TSH ZIPO

Hello, Karibu katika channel yetu ya Mafunzo ya kuagiza bidhaa kutoka China 🇨🇳...

16 subscribers View

Jonijoo Magari Bei Poa🌏📞🗳

Mimi ni muuzaji magarii Ya bei rahisi sana kuanzia 3M nakuendelea gari ni used ...

14 subscribers View

ALL NETWORK BUNDLES 🎯

🎯TUNATOA HUDUMA ZA GB/MB/BUNDLES KWA HALOTEL, VODA NA TIGO KWA GHARAMA NAFUU.. ...

9 subscribers View

4Pz Consults

Kwa Mahitaji Nyumba na Viwanja, Mashamba,Kujengewa au Kupangisha Nyumba; Aidha m...

8 subscribers View

Seba Classic Jeans Wear.

Seba Classic Jeans Wear. Karibuni kwenye Channel yetu rasmi ya WhatsApp ya Seba...

7 subscribers View

MAGARI,BAJAJI NA PIKIPIKI BEI POA.

Tunauza magari used bajaji na pikipiki Ofisi zetu zipo dar es salaam mtoni kwa a...

2 subscribers View

Joseph Tz

Karibuni kwa burudani hapa ni mahala pake

1 subscribers View

Posts

Aviation Tanzania on Instagram: "Shehena ya simu 1000 zilizoibiwa yakamatwa uwanja wa ndege zikipelekwa Afrika kaskazini. Polisi nchini Uingereza wamekamata shehena ya simu 1,000 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Heathrow, ikiwa ni sehemu ya oparesheni kubwa dhidi ya mitandao ya kihalifu inayojihusisha na wizi wa simu jijini London. Taarifa hiyo ilitolewa na Jeshi la Polisi la Jiji la London (Met Police) juni 3 mwaka huu, wakati wa kutoa ushahidi mbele ya Bunge la Uingereza kuhusu ongezeko la wizi wa simu katika mji huo mkuu, ambapo takribani simu 80,000 ziliripotiwa kuibwa katika mwaka 2024 pekee. Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Teknolojia na Takwimu za Kidijitali wa Met, Darren Scates, takwimu zinaonesha kuwa karibu asilimia 75 ya simu zinazoporwa huishia kupelekwa nje ya nchi, huku asilimia kubwa kati ya hizo zikipelekwa nchini Algeria na China/Hong Kong. Alifafanua kuwa Algeria na China kwa sasa ndio maeneo yanayopokea kwa kiwango kikubwa simu hizo. Alieleza kuwa miongoni mwa mafanikio ya hivi karibuni ni kukamatwa kwa zaidi ya simu 1,000 zilizoibwa katika Uwanja wa Heathrow, ambazo zilikuwa zikielekea Afrika Kaskazini. Hata hivyo, polisi hawakutaja tarehe halisi ya tukio hilo, wakieleza kuwa limefanyika miezi kadhaa iliyopita na uchunguzi bado unaendelea. Scates alisema kuwa utafiti uliofanywa unaonesha kuwa asilimia 80 ya simu zilizoibwa ni aina ya iPhone, na kila moja huwa na thamani ya mtaani ya kati ya paundi 300 hadi 400 Kwa ujumla, thamani ya simu zote zilizoibwa inakadiriwa kufikia paundi milioni 20. #airport #londonheathrowairport #airportinvestigation #northafrica #smartphones #aviationupdate #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzanianews"

https://www.instagram.com/p/DK6ZyrXtyoO/?igsh=MXA2aXVhcGwxYmU3MA== *Shehena ya simu 1000 zilizoibiw...

Aviation Tanzania on Instagram: "Wote walinusurika Wakiwa Kwenye siti namba 11A: Mwanamuziki wa Thailand na Manusura wa ajali ya Air India. Msanii maarufu wa muziki nchini Thailand, Ruangsak Loychusak, ameibua hisia mpya za majonzi na mshangao baada ya kusimulia kuwa aliwahi kunusurika katika ajali mbaya ya ndege ya Thai Airways mwaka 1998 akiwa amekaa kwenye siti namba 11A – sehemu ileile ambayo Bw.Vishwash Kumar Ramesh, manusura pekee wa ajali ya ndege ya Air India, iliyotokea hivi karibuni, alikuwa ameketi. Ruangsak, ambaye alipata umaarufu mkubwa miaka ya 90 kwa jina la utani “Iron Bones”, alinusurika ajali ya ndege ya Thai Airways TG261 iliyotokea mnamo Disemba 11, 1998, wakati ndege aina ya Airbus ilipoanguka kwenye shamba la mpira huko Surat Thani, na kusababisha vifo vya watu 101. Akiwa ameketi katika kiti namba 11A, alinusurika kwa miujiza lakini aliishi na hofu ya kutumia usafiri wa anga kwa kipindi cha zaidi ya miaka kumi. Ruangsak alipata mshtuko baada ya kusikia kuwa Vishwash Kumar Ramesh, manusura pekee wa ajali ya ndege ya Air India, Boeing 787 Dreamliner iliyotokea tarehe 12 Juni 2025 huko Ahmedabad, India, naye alikuwa ameketi kwenye kiti namba 11A kabla ya ndege hiyo kuanguka katika bweni la chuo kikuu na kuua watu wote waliokuwemo isipokuwa yeye. Kupitia chapisho lake la hisia mitandaoni, Ruangsak alieleza kuwa taarifa hiyo ilimpa msisimko usio wa kawaida na kumfanya atafakari kwa kina namna maisha yalivyojawa na miujiza. Aidha, alitoa salamu za rambirambi kwa familia za wahanga wa ajali ya Air India, akisema kuwa kiti namba 11A sasa ni zaidi ya namba – ni alama ya matumaini na ushuhuda wa uhai katika mazingira ya maafa. #planecrash #survivor #planecrashsurvivor #airindia #boeing787dreamliner #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"

https://www.instagram.com/p/DK6TbhyNW8z/?igsh=MXhxbGh2ZTc5N2ZubA== *Wote walinusurika Wakiwa Kwenye...

DAR: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesem...

DAR: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mifumo ya Hali ya Hewa haioneshi uwepo wa mvua h...

Aviation Tanzania on Instagram: "Katika Mkutano wa Kimaendeleo ya sekta ya anga,Aviadev ,Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la ndege la @airtanzania_atcl Mhandisi Peter Ulanga ameeleza mipango ya hivi karibuni ya shirika hilo ikiwemo kuanzisha safari katika visiwa vya Pemba. #airline #airtanzania #routeexpansion #newaircraft #airtanzania_atcl #aviation #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzania✈"

https://www.instagram.com/reel/DKzuwGFNhbb/?igsh=MXFpNmgydWtyMXJnaA== Katika Mkutano wa Kimaendeleo...

Aliye nipa ushauri leo aliweka 15k kampuna muhindi...

Aliye nipa ushauri leo aliweka 15k kampuna muhindi 200k 😁😁😁 Karibuni VIP👇👇 https://wa.me/+2557...

Taking Services Closer to our Customers.Our dedic...

Taking Services Closer to our Customers.Our dedicated customer care team from Lower Embakasi Region...

Aliyekuwa Jaji Mkuu wa Kenya, Dkt. Willy Mutunga, ...

Aliyekuwa Jaji Mkuu wa Kenya, Dkt. Willy Mutunga, Wakili Mwandamizi Martha Karua, pamoja na watu wen...

MABOSI wa klabu ya Hassania Agadir ya Morocco 🇲🇦...

MABOSI wa klabu ya Hassania Agadir ya Morocco 🇲🇦 wapo katika mazungumzo ya kuipata saini ya kiungo...

RIWAYA; *KIBIRITINGOMA* MTUNZI; *GODLOVE KABATI* K...

RIWAYA; *KIBIRITINGOMA* MTUNZI; *GODLOVE KABATI* KWENDA KWA; *MAJIVU YA FASIHI channel* WhatsApp; 07...

*HATIMA YA KIMUNGU* *Hadithi ya Unabii na Kifo Ch...

*HATIMA YA KIMUNGU* *Hadithi ya Unabii na Kifo Cha Mfalme Ahabu* _”Mapenzi yako yatimizwe, hapa du...

Aviation Tanzania on Instagram: "Ndege zakaribia kugongana katika uwanja wa ndege wa Costa Esmeralda. Ndege ya kifahari aina ya phenom 300 hivi karibuni ilikaribia kugongana angani na helikopta katika uwanja wa ndege wa Esmeralda, ulioko Porto Belo, jimbo la Santa Catarina, Brazil. Tukio hilo lilitokea Juni 8,2025 wakati ndege zote mbili zilipokuwa zinaanza kuruka kutoka ardhini (taking off) kutoka kwenye uwanja huo. Kwa kawaida uwanja huo hauendeshwi na mnara wa kuongoza ndege (air traffic control), jambo linalowalazimu marubani wenyewe kuhakikisha usalama na kugawana maeneo ya kuruka katika anga hilo. Mashuhuda na vyanzo vya ndani vilieleza kuwa kulikuwa na umbali wa kutosha kati ya ndege hizo mbili, ingawa tukio hilo lilikuwa la hatari na lingeweza kusababisha ajali kubwa iwapo mambo yangeenda tofauti. #atc #esmeralda #takingoff✈️ #aviationtanzania✈ #aviationtanzaniaupdates #aviata #aviataupdates"

https://www.instagram.com/reel/DKuLKHJtsYv/?igsh=M2V0eGw5enRld3E3 *Ndege zakaribia kugongana katik...

Aviation Tanzania on Instagram: "As Salaam Air yaongeza ndege ya nne aina ya Embraer 120. Shirika la ndege la @assalaamairtz , lenye makao makuu visiwani Zanzibar, hivi karibuni limepokea ndege nyingine aina Embraer 120 yenye namba ya usajili 5H-LUF. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye mtandao wa Plane Spotter, ndege hiyo yenye iliwasili kwa mara ya kwanza katika Kisiwa cha Pemba juni 4 2025, ikitokea Zanzibar (ZNZ) na kutua salama katika Uwanja wa Ndege wa Pemba (PMA) majira ya saa 11:38 jioni Safari iliyochukua dakika 22 pekee. As Salaam ilianzishwa rasmi mwaka 2011 likifanya safari za Arusha-Zanzibar, Dar es Salaam-Pemba, Dar es Salaam-Zanzibar, Pemba-Dar es Salaam,Pemba-Zanzibar, Zanzibar-Arusha na Zanzibar-Pemba. Kwa sasa kampuni hiyo ina jumla ya ndege nne aina ya Embraer 120, kila moja ikiwa na uwezo wa kubeba abiria 30. . #airline #assalaamair #fleetexpansion #newaircraft #assalaamair #embraer120 #aviationtanzaniaupdates #aviationtanzania✈"

https://www.instagram.com/reel/DKrjPckNXRJ/?igsh=MWU4M2x4Nm0zMTNqcg== *As Salaam Air yaongeza ndege...